Tonart: Ab major
Verse 1
F
Bb
Iyee iyeee iyee iyee
F
C
Iyee iyee mmhhh
Verse 2
F
Bb
Maisha yangu yanawewe
Bb
F
Msaada Wa karibu bwana
F
nanitakutuza
Bb
Nitapolemewa na mizigo
F
Magonjwa na mateso sina
Bb
F
C
F
wasiwasi tena
Bb
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
F
Gongo lako na fimbo yako
vinanifariji bwana
C
Verse 3
F
Umenifanya wa thamani umenitoa
C
ukanibariki
F
Bb
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
F
Niliyekuwa sifai, umenibariki
C
Verse 4
Bb
Only you Jesus (Jesus)
F
Ni wewe unanitoa dhambi (only you)
C
Ni wewe unaefaa (my God)
F
Bb
F
C
Only you
F
Kila njia ya mtu ni sawa,
Bb
F
machoni pake mwenyewe
C
F
C
F
Bali bwana upima mioyo
Bb
Mawazo tuliyonayo nafaham
F
naweza kujiona watakatifu
C
Ila mbele zake hasara roho ni
Bb
Jinyenyekeze mbele zake
Bb
F
anaokoa halo halo halo
Bb
Nitapolemewa na mizigo
F
Magonjwa na mateso sina
C
F
wasiwasi tena
Bb
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
F
Gongo Lako na fimbo yako
vinanifarijii bwana
C
Verse 5
F
Umenifanya wa thamani umenitoa
C
ukanibariki
F
Bb
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
F
C
Niliyekuwa sifai, ukanibariki
Iyee
Verse 6
F
Bb
Only you Jesus
F
Simba wa yuda (Only you)
Hakuna kama wewe (Only
Bb
Nitang'ang'ana na wewe (Jesus)
C
Ni wewe pekee yako tu (my God)
Bb
Baba wa huruma ehh (Jesus)
F
Mwingi wa rehema ehh (Only you)
C
Hakuna kama wewe (My God)
Mwenye kutoa buree (only
Unayetupenda (Jesus)
Bb
F
Only you
Baba yangu
Wie hat dir der Song gefallen?
TunerE A D G B E
Akkorde & SongtexteF Bb C
Ähnliche Songs
Entdecke Akkorde für mehr Songs zum Spielen
Beliebte Akkorde weltweit
Meistgespielte Akkorde & Tabs aller Nutzer
Neu hinzugefügt
Kürzlich hinzugefügte Akkorde & Tabs
